Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alisema Vikosi vya Ulinzi Tanzania vimekuwa na uwezo, nguvu, uzoefu na nidhamu kubwa ya kusimamia ulinzi wa Taifa na haya yamepatikana kutokana na mafunzo wanayopewa na Wataalamu pamoja na Viongozi wao. Read more
No comments:
Post a Comment